International News

 Home / News / International News

WASHAMBULIAJI WAVAMIA KAMBI YA MADINI NCHINI NIGERIA

Washambuliaji walivamia kambi ya madini kwenye kijiji cha Maru kilichopo wilaya ya Zamfara na kufuatia mfululizo wa mashambulizi yaliyotokea kwenye eneo hilo.


Lengo la shambulizi hilo bado halija fahamika huku gavana wa wilaya ya Zamfara Abdulaziz Yari Abubakar akisema shambulizi hilo kuwa read more...

HILLARY CLINTON NA DONALD TRUMP WAENDELEA NA KAMPENI

Wagombea Urais nchini Marekani Hillary Clinton na Donald Trump wameendelea na Kampeni zamu hii wakitetea kile walichozungumza wakati wa mdahalo wa pili uliofanyika mwishoni mwa wiki.

Donald Trump, wa Republican amesisitiza kuwa alichokizungumza wakati wa mdahalo mwishoni mwa wiki kina mantiki na read more...

About Us

TV1 is part of the Modern Times Group (MTG), international presenters in entertainemt. MTG has operations in 4 continents. Visit www.mtg.se for more information.

Viasat 1 Tanzania Ltd.

  •   Mikocheni A Ind. Area, Plot No. 81,
         P. O. Box 31119, Dar es Salaam, Tanzania
  •   +255 658 455 121
  •   0 -000 -000 -0000
  •   info@tv1.co.tz

Email us

Your message was successfully sent!