Sports News

 Home / News / Sports News

Cameroon Wachukua Uongozi wa Kundi la 'A'

Timu ya Taifa ya Cameroon jana iliandikisha ushindi wa bao 2 kwa 1 dhidi ya Guinea-Bissau.

Guinea-Bisau ambao kufikia dakika ya 48 walikuwa wakiongoza kwa bao moja ambalo lilifungwa na Piqueti mchezaji wa Guinea-Bisau anayechezea Club ya Ureno inayoitwa S.C. Braga B.

Mabao ya Cameroon yalifung read more...

Burkinafaso Wawazuia Wenyeji Gabon

Wenyeji Gabon, Jana walilazimika kutoka sare ya 1 kwa 1 na Burkinafaso. Hii ilikuwa baada ya Prejuce Nakoulma kuifungia Burkinafaso bao lao kupitia Mkwaju wa Penalti katika uwanja wa Stade de l’Amitie.

Mlinda lango wa Burkinafaso Hervé Koffi alionyesha umahiri wake katika mechi hii kwa kuokoa read more...

Mali watoka Sare na Misri

Misri (Egypt) jana waliweza kutoka sare bila kufungana walipokutana na Mali katika michuano inayoendelea ya Afcon2017 inayochezewa Gabon.

Sasa Misri na Mali wanashikilia nafasi ya 2 katika group 'D' wakiwa na point 1 baada ya Ghana. Uganda wanashikilia nafasi ya mwisho wakiwa bila poin read more...

André Ayew Aifungia Ghana bao la ushindi

André Ayew Pelé Mchezaji wa wa Ghana ambaye pia anachezea West Ham United, jana aliweza kuifungia Ghana bao moja kupitia mkwaju wa Penalti.

Bao hilo lilifungwa katika dakika ya 32 baada ya Dennis Onyango wa Uganda kumchezea foul Asamoah Gyan.

Ghana sasa wanaongoza kwa point 3 katika kundi l read more...

About Us

TV1 is part of the Modern Times Group (MTG), international presenters in entertainemt. MTG has operations in 4 continents. Visit www.mtg.se for more information.

Viasat 1 Tanzania Ltd.

  •   Mikocheni A Ind. Area, Plot No. 81,
         P. O. Box 31119, Dar es Salaam, Tanzania
  •   +255 658 455 121
  •   0 -000 -000 -0000
  •   info@tv1.co.tz

Email us

Your message was successfully sent!