News

 Home / News / News

André Ayew Aifungia Ghana bao la ushindi

André Ayew Pelé Mchezaji wa wa Ghana ambaye pia anachezea West Ham United, jana aliweza kuifungia Ghana bao moja kupitia mkwaju wa Penalti.

Bao hilo lilifungwa katika dakika ya 32 baada ya Dennis Onyango wa Uganda kumchezea foul Asamoah Gyan.

Ghana sasa wanaongoza kwa point 3 katika kundi la 'D'. André Ayew Pelé ni mwana wa pili kwa gwiji wa mpira Africa Abedi Pelé Ayew.

Endelea kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii ili kupata habari kamili.

Share on facebook

About Us

TV1 is part of the Modern Times Group (MTG), international presenters in entertainemt. MTG has operations in 4 continents. Visit www.mtg.se for more information.

Viasat 1 Tanzania Ltd.

  •   Mikocheni A Ind. Area, Plot No. 81,
         P. O. Box 31119, Dar es Salaam, Tanzania
  •   +255 658 455 121
  •   0 -000 -000 -0000
  •   info@tv1.co.tz

Email us

Your message was successfully sent!