News

 Home / News / News

Mali watoka Sare na Misri

Misri (Egypt) jana waliweza kutoka sare bila kufungana walipokutana na Mali katika michuano inayoendelea ya Afcon2017 inayochezewa Gabon.

Sasa Misri na Mali wanashikilia nafasi ya 2 katika group 'D' wakiwa na point 1 baada ya Ghana. Uganda wanashikilia nafasi ya mwisho wakiwa bila point baada ya kupoteza mechi yao dhidi ya Ghana.

Endelea kutufuatilia katika mitandoa yetu ya kijamii kwa habari za uhakika

Share on facebook

About Us

TV1 is part of the Modern Times Group (MTG), international presenters in entertainemt. MTG has operations in 4 continents. Visit www.mtg.se for more information.

Viasat 1 Tanzania Ltd.

  •   Mikocheni A Ind. Area, Plot No. 81,
         P. O. Box 31119, Dar es Salaam, Tanzania
  •   +255 658 455 121
  •   0 -000 -000 -0000
  •   info@tv1.co.tz

Email us

Your message was successfully sent!