News

 Home / News / News

Cameroon Wachukua Uongozi wa Kundi la 'A'

Timu ya Taifa ya Cameroon jana iliandikisha ushindi wa bao 2 kwa 1 dhidi ya Guinea-Bissau.

Guinea-Bisau ambao kufikia dakika ya 48 walikuwa wakiongoza kwa bao moja ambalo lilifungwa na Piqueti mchezaji wa Guinea-Bisau anayechezea Club ya Ureno inayoitwa S.C. Braga B.

Mabao ya Cameroon yalifungwa na Sébastien Siani na Michael Ngadeu-Ngadjui. Ushindi huu wa Cameroon umewapa nafasi ya kushikilia uongozi wa kundi la 'A' kwa point 4 wakifuatiwa na Burkinafaso na Gabon, huku Guinea-Bisau wakishikilia nafasi ya mwisho wakiwa na point 1.

Guinea-Bisau watakutana na Burkinafaso katika mechi ya mwisho ya makundi huku Cameroon wakikutana na Gabon ambao ndio wenyeji wa mashindano haya.

Share on facebook

About Us

TV1 is part of the Modern Times Group (MTG), international presenters in entertainemt. MTG has operations in 4 continents. Visit www.mtg.se for more information.

Viasat 1 Tanzania Ltd.

  •   Mikocheni A Ind. Area, Plot No. 81,
         P. O. Box 31119, Dar es Salaam, Tanzania
  •   +255 658 455 121
  •   0 -000 -000 -0000
  •   info@tv1.co.tz

Email us

Your message was successfully sent!